M MpembaOg New Member Joined Oct 8, 2024 Posts 1 Reaction score 1 Oct 9, 2024 #1 Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni?
Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni?
Kiminyio 01 JF-Expert Member Joined Aug 3, 2018 Posts 1,389 Reaction score 2,025 Oct 9, 2024 #2 Ndio inawezekana targets muda na eneo unawin.
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Oct 9, 2024 #3 MpembaOg said: Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni? Click to expand... Una tamaaa, anza mdogo mdogo jf hatuna kitendo cha abiria wa bolt
MpembaOg said: Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni? Click to expand... Una tamaaa, anza mdogo mdogo jf hatuna kitendo cha abiria wa bolt
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 11,640 Reaction score 24,066 Oct 9, 2024 #4 MpembaOg said: Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni? Click to expand... Karibu mkuu kwenye hii dunia yetu ya uafisaa usafirishaji. Nidhamu ya pesa na umakini barabarani bila kusahau kujituma na KUOMBA DUA NJEMA KWA MOLA WETU asylum aleikum.
MpembaOg said: Naombeni ushauri. Nina bodaboda yangu nipo Dar vipi nikifunga Bolt itaweza kuniingizia walau elfu 40 kwa siku au nikae kijiweni? Click to expand... Karibu mkuu kwenye hii dunia yetu ya uafisaa usafirishaji. Nidhamu ya pesa na umakini barabarani bila kusahau kujituma na KUOMBA DUA NJEMA KWA MOLA WETU asylum aleikum.