Nipo Dar es salaam, nasaidia watu Kununua Mizigo na kuituma kwa uaminifu mkubwa

Nipo Dar es salaam, nasaidia watu Kununua Mizigo na kuituma kwa uaminifu mkubwa

naturesolve

Member
Joined
Jul 21, 2022
Posts
18
Reaction score
21
Nafanya kazi na watu tofauti kutoka mikoani. Mimi napatikana Dar, Mbezi Mwisho watu wanaotaka kununuliwa mizigo au kufanyiwa shughuli zao kwa ufasaha angali wapo mbali.

Kwa msaada wa kitu chochote ndani la jiji la dar, nafanya kwa uaminifuu zaidi hautojutia kufanya kazi na mimi.

Mawasiliano: 0782519947
 
Ushauri

Andika Tangazo lako vizuri, mteja asiwe na maulizo atakapolisoma

Unaweza pia kuchapisha kipeperushi ukakiweka hapa

Inasaidia kuonyesha userious katika Kazi yako
 
Back
Top Bottom