Nipo dilema: Je, niuze pikipiki yangu Boxer BM 150 ninunue Shineray inayotumia umeme?

DOgo huna pikipiki. Huna chochote zaidi ya tumbo limejaa choo tu. Halafu huzijui pikipiki. Huna voxer ya miaka 7 eti uuze mili 1,700,000. Kabla ya kutunga hizi stories muwe mnafanya tafiti. Hii umemsikia mtu anaongea. Ukaibeba ila ulisahau miaka aliyokaa nayo hiyo pikpiki. Miaka 7 uuze milion 1.7?
 
Sasa
Utachaji wapi na umeme hamna.
Hizo za huko kwenye umeme wa kueleweka.
 
Huyo jamaa anajua BM ni nii ndo maana ANATOA pesa ya maana,sasa ww jichanganye
 
Duh BM noma miaka 7 na bado unaweza iuza Mil 1.7
Mkuu inawezekana kabisa tena mdau anasema kabisa chuma niyarut zamjini tu.mimi yakwangu ninamba BT_ nimenunua 2017 nihizi wanazoziita Boxer dume au mdomo wabata chuma gia nne achana nahizi zasasahiv gia 5.hadi leo kuna watu wananifuata wamefika bei hadi 1.8 wanaitaka mana chuma bado muonekano upo vzr na pafomance yake usipime inapanda milima kinglion anabaki anashangaa
 
Kwakwel boxer ni ngumu aise
Yangu pia ni model ya zamani gia 4
 
Nilipenda tu jinsi jamaa yangu anatumia unit 2 (400/=) kuja kazini hadi siku 4
running cost ya hiyo scooter ni ndogo ni kweli, lakini baada ya muda ndo utajua kwanini wadau wanashauri ubakie na boxer maana betri likishaanza kusumbua ndo changamoto itaanzia hapo lakini pia huu umeme wetu haueleweki.

mimi mwenyewe nina boxer 150 gia 4 domo la mamba tangia 2019...hii chuma hata ninunue gari hii siwezi iuza ni mninga balaa
 
Nakupata mkuu [emoji2]
 
Labda kichaa ndo anaweza kununua kwa hela hiyo. Kumbe sio wanasiasa tu wanaoongeza sifuri hadi wananchi [emoji706]
Najiulizaga inawezekanaje mtu akaona faida kukudanganya wwe hpa wakati hakujui,, ili iwe nini yani [emoji848]
 
Wazee nimetokea kuielewa Honda today vp ulaji wake wa mafuta

Dukani inagharimu kiasi gani
 
Habari! kiukweli baki na boxer story yako imenirudisha nyuma miaka 9 hivi usafiri wangu wa kwanza ulikuwa ni boxer embu ipe heshima yake boxer.
 
Kwani BM unaniambia km ngapi Kwa Lita Moja?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…