Mimi BM 150 ya kwangu nilinunua 2015, kuna jamaa yangu alinunua baada ya mwaka mmoja baada ya kuwa inspired na ya kwangu, Mwaka jana ameuza ya kwake na kununua hizi toleo jipya gear 5 huku akinishawishi na mm kuuza ya kwangu, nimemwambia kama toleo hili la zamani linapatikana dukani basi nitauza ninunue tena kama hii, ila kama hazipatikani basi nitakufa nayo.
Sahv natumia Honda ace muda mwingi ila sijafikiria kuuza boxer bm 150, its the best bike!