kandukamo1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2012
- 1,058
- 689
Very sory mkuu,tatzo watu hawapo serious,mtu najieleza hitaji langu halafu mwingne ananiona kama vile sijui nikoje,inanikera sana! Anyway,not so much bad,msiogope jaman,nami nataka kuoa ili nifikie malengo yangu! Aliye tayar,mwenye hitaji kama langu,hebu awe serious bas tuongee kiutu uzima zaid
Tunajua uko serious wataka jiko. Lakini waonekana uko too SERIOUS kama wameza shubiri vile utoavyo makavu. Waambie unamiliki kivuko cha Kamanga waje ujichagulie kama King Mswati.
Umeona mkuu... Lazima aweke wazi MaATM, MaTEMBO card, MaHandaki, Mikoko n.k!!!
Premature sana ku_expose vitu kama hivyo na ni vigumu sana kumpata mwenye mapenz ya kweli kwa dizaini hiyo!