Siku ya leo nimeamka na mzuka wa rhumba sasa katika pitia pitia za wasanii wakongo nikapitia album hii mpya ya ferre gola iitwayo Dynastie ii vol. 1 aliyotoa mwaka huu mwezi oktoba.
Aisee ferre gola anajua balaa sio kwa hii mikwaju iliyohumu kama huu wa Visas ni balaah.