Nipo Hapa namuangalia mchungaji Lusekelo

Anasema kwao Iringa wao ndio wa kwanza kumiliki magari miaka ya 70 dah eti anaweza kuishi miaka 30 bila kufanya kazi sadaka za kondoo zinampa kibri.
 
Anaongea kuhusu nini kama hatumii Biblia?
 
Jana kuna mwanangu kanihubiria alinithibitishia kwamba hata nabii Adam aliumbwa na yesu nikasema mmmh huyu bwana yupo sawa kichwani au kakaririshwa matango pori.?? Lusekelo anasemaje huko
Ki biblia ....yes..Adam na binadamu wote waliumbwa na YESU.

YESU alishiriki kwenye uumbaji wa dunia akiwa na MUNGU...ndio mana kitabu cha mwanzo pale kwenye uumbaji kinatumia kauli ya wingi mfano "Na tuumbe mtu kwa mfano wetu"

Maana ake waumbaji walikua zaidi ya mmoja...

Mengi zaidi waweza ni inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yesu Muarabu wa Israel, Mtume Muddy muarabu wa Saudi Arabia. Poleni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata kama nikiwa na umwa na corona uwez niambia yesu alimuumba adamu nikakuacha uendeleze huu upuzi kwani sote atujui yesu alizaliwa akalelewa kama bina adamu wengine? Kipindi yupo mdogo ndio anakuwa watu walikuwa wakimuomba na kumuabudu kwa namna gani?????? Unajua yesu alikuwa anakula anakunywa anaenda chooni na mpaka alifanyiwa tohara sasa mtu kama huyu anawezaje kuhusika katika uumbaji wakiristo tuache kujitengenezea concept zetu ili kumpa yesu credit asizo husika nazo yesu alikuwa mjumbe tu suala la uungu mnamsingizia aiseeee acheni huo ujinga tumewavumilia tumewachoka sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…