ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
wakuu nimeanzisha uzi wa kutoa darasa la masuala ya jinai karibuni kwa maswali na mjadala kwa ujumla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wakuu nimeanzisha uzi wa kutoa darasa la masuala ya jinai karibuni kwa maswali na mjadala kwa ujumla.
Hivi makosa yana makundi mangapi maana mi nayajua ya jinai tu, mengine ni yepi?
...ni kosa la jinai, kwa mtu yoyote, au kikundi cha watu kujichukulia sheria yoyote ya jinai mkononi. ni kosa kumuua mtu hata kama ana hatia, mahakama ndiyo chombo pekee cha kutoa uamuzikutokana na vitendo vya raia kujichukulia sheria mikononi,wamekua waki ua mpaka wasio na hatia kwa kwavile wengine huwa wana wahisi tu,je ikibainika kikundi cha watu wameua asiye na hatia ,sheria ya makosa ya jinai ina semaje kuhusu hili?
Je kitatiwa hatiani kikundi au ukoo mzima?au wata geuziwa kibao police kwakuto toa elimu ya kutosha kwa raia kuhusiana na utii wa sheria bila shuruti?
wakuu nimeanzisha uzi wa kutoa darasa la masuala ya jinai karibuni kwa maswali na mjadala kwa ujumla.
...ni kosa la jinai, kwa mtu yoyote, au kikundi cha watu kujichukulia sheria yoyote ya jinai mkononi. ni kosa kumuua mtu hata kama ana hatia, mahakama ndiyo chombo pekee cha kutoa uamuzi
Ni nani we kakupa dhamana ya kijibu? Aliomba maswali yupo kimya. Wabongo bhana.
nnavyo elewa kuna makosa ya aona mbili ,
MAKOSAYA JINAI,NA MAKOSA YA MADAI,
JINAI NIKAMA VILE ,KUUA,WIZI,KUTOA LUGHA YA MATUSI,WIZI WAKUAMINIWA.UBAKAJI.N.K
NAMADAI NIKAMA VILE.
MGAWANYO WA MALI,MADENI BINAFSI ,AU KAMPUNI.
Na civil case inaangukia wapi?
(halafu hebu tuma pm kwa Invisible akubadilishie jina bwana. Ni junior lecturer;note the first L and the last R)
Duh una macho, hongera sana. Hivi kweli lecturer aweza kosea kiasi hiki? This is not an error, it is a MISTAKE
Ni nani we kakupa dhamana ya kijibu? Aliomba maswali yupo kimya. Wabongo bhana.
Hivi makosa yana makundi mangapi maana mi nayajua ya jinai tu, mengine ni yepi?
MAKOSA YA JINAI YAMEGAWANYWA kwenye kanuni ya adhabu (PENAL CODE CAP 16 R.E 2002) Kwa Chapter mbalimbali mfano offence against morality e.g rape(section 130,defilement of imbecile), Unatural offence section154 OF THE PENAL CODE na pia kuna sheria ambayo inatoa muongozo ni jinsi gani kesi za jinai ziendeshwe inaitwa CRIMINAL PROCEDURE ACT CAP 20 R.E 2002, kwa upande wa kesi za madai yaani CIVIL CASES ni kama mambo yahusuyo madeni,mikataba,bima,uuzaji wa bidhaa n.k na kuna sheria inayotoa muongozo ni jinsi gani kesi za madai ziendeshwe inaitwa CIVIL PROCEDURE CODE
...ni kosa la jinai, kwa mtu yoyote, au kikundi cha watu kujichukulia sheria yoyote ya jinai mkononi. ni kosa kumuua mtu hata kama ana hatia, mahakama ndiyo chombo pekee cha kutoa uamuzi
...mkuu kwani Kuna shida gani mimi nikijibu, ikiwa mtu kauliza swali? Mleta Uzi karuhusu mijadala kwa ujumla, au WW haujasoma huo Uzi vvizuri?. Zaidi ya yote, sijajibu vibaya. Kwani WW ulitakaje labda, au ulijisikia Tu kupost?