Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Mwadila
Wakuu nipo hapa uwanja wa fisi hapa manzese kutokea jana usiku saa nne kamili mpaka mida hii nikitafuta mke wa kumuoa hawa machangudoa.
Kuna mdau wangu mmoja aliwahi niambia eti machangaduo ukiwaoa wanatulia kwenye ndoa sana kwasababu yeye ameoa changudoa tena amemtoa pale mwananyamala yeye ni kabila fulani la mkuu wa humu jukwaani.
Kwahiyo nipo hapa tokea saa nne usiku nasikilizia kama nikimpata nikamtolee mahari ila sema budget yangu ya mahari ni mwisho 250000 tu kwa sababu na mimi hali yangu ni tia tia maji.
Jana kuna mmoja niliongea nae na akaelewa ombi langu ila akaniambia nimsikilizie akapigwe show au akagegedwe kwanza then nitaondoka nae kwenda kutambulishwa kwao ila mpaka sasa sijamuona na aliniambia yeye ni kabila fulani hivi toka kaskazini mwa Tanzania la mkuu fulani hivi wa elimu Tanzania.
Wadau kama kuna mtu ana namba ya demu wowote wa hapa uwanja wa fisi anishitue ilanitapambana hapa mpaka kieleweke mpaka nitoke na jiko hapa.
Nawasilisha