Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

Nipo hospitali Mgonjwa amejifungua kwa operation ila damu wanasema hawajamuongezea kwahiyo tulipe, tuchangie, au tuondoke kwa kusaini

Mamujay

Senior Member
Joined
Dec 24, 2022
Posts
149
Reaction score
345
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,

Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
  • Mpaka either tuchangie damu,
  • Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
  • Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
 
Damu hawaongezei wagonjwa bure, labda kama kati yenu wauguzi Kuna mwenye kadi ya uchangiaji damu, kama hamna changieni au mlipie gharama mlizoambiwa
 
Ina maana mmeshindwa kutoa hiyo damu
 
Changia damu mkuu.kumbuka iliotumika kumuokoa ni damu ya mtu mwingine.
Changia ili na mwingine nae apate saidika kama wewe.
Mgojwa bado hajawekewa dam
 
Toeni robo lita kila mtu.
Damu haitengenezwi
 
Damu hawaongezei wagonjwa bure, labda kama kati yenu wauguzi Kuna mwenye kadi ya uchangiaji damu, kama hamna changieni au mlipie gharama mlizoambiwa
Unaweza kuwa na kadi na bado wakakuzingua .nchi hii nyokooo
 
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,

Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
  • Mpaka either tuchangie damu,
  • Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
  • Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Naomba mnipe utaratibu ukoje

Hospitali gani hiyo
Serikali yetu kupitia wizara ya afya Wanawake wajawazito, waliojifungua na waliopata ajali hawapewi masharti ya kuchangia damu ndio waongezewe damu.

Ikitokea mgonjwa wa magonjwa mengine amepungukiwa damu anaweza ambiwa achangiwe na ndugu zake ndio aongezewe damu, sio wazazi
 
Back
Top Bottom