Huwa wanapokea damu yoyote sio lazima ifanane na mgonjwa wako..Vigezo hatuna
Unaweza kuwa na kadi na bado wakakuzingua .nchi hii nyokoooDamu hawaongezei wagonjwa bure, labda kama kati yenu wauguzi Kuna mwenye kadi ya uchangiaji damu, kama hamna changieni au mlipie gharama mlizoambiwa
inategmea, unaweza ukawa na kadi na umechangia mara moja tuUnaweza kuwa na kadi na bado wakakuzingua .nchi hii nyokooo
Niko hospitalI ya Serikali mgonjwa wangu amefanyiwa operation juzi usiku saa nne, hospitali iko jirani na Kariakoo,
Kutoka nimeambiwa haiwezekani.
Naomba mnipe utaratibu ukoje
- Mpaka either tuchangie damu,
- Tulipe tena wakati tulishalipa hela ya kujifungulia laki 1
- Au wemesema tusaini kama tunaondoka na mgonjwa kwa ridhaa yetu.
Mgojwa bado hajawekewa dam