Nipo humu kwa lengo la kupata mke mwema

Nipo humu kwa lengo la kupata mke mwema

Wa chuma

New Member
Joined
May 16, 2023
Posts
3
Reaction score
7
Nipokeeni ndugu zangu

1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50

Aisee....
 
Masharti magumu siwawezi hasa khs kipini sio kitovuni tu bali hata chini yake kipo! Unaishi kijijini gani. Siuoe huko huko?
 
Masharti ni magumu siyawezi hasa hapo kwenye kipini. Sio kwamba nnacho puani na kitovuni tu bali pia kipo chini kidogo ya kitovuni.Oa huko huko kijijini kwenu hapa mjini sidhani!
 
🤣🤣 27 hana mtoto?labda anatokea kaskazin huyo🤣🤣na hutaki 50/50 so huduma zote utagharamia wewe? hongera kwa kipato🤔
 
Nipokeeni ndugu zangu

1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50

Nipokeeni ndugu zangu
Haya masharti ni ya kuoa au ya kuingia mbinguni? [emoji848][emoji848]
Ok ok all the best
 
Nipokeeni ndugu zangu

1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50

Nipokeeni ndugu zangu
Zamani sisi wanaume hatukuwa tukitaka kupokewa. Yaani wewe unakuja na unasisitiza upokewe unadhani kwa kauli hiyo utapata mchumba mwenye akili? Si rahisi. Yaani tu umechefua kutaka watu wakupokee.... Hapo tu nimeona wewe una shida.
 
Nipokeeni ndugu zangu

1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50

Nipokeeni ndugu zangu
Huku mjini sijui kama utapata kwa sifa hizi.
 
Back
Top Bottom