Aisee....Nipokeeni ndugu zangu
1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50
Nipokeeni ndugu zangu
Haya masharti ni ya kuoa au ya kuingia mbinguni? [emoji848][emoji848]Nipokeeni ndugu zangu
1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50
Nipokeeni ndugu zangu
Zamani sisi wanaume hatukuwa tukitaka kupokewa. Yaani wewe unakuja na unasisitiza upokewe unadhani kwa kauli hiyo utapata mchumba mwenye akili? Si rahisi. Yaani tu umechefua kutaka watu wakupokee.... Hapo tu nimeona wewe una shida.Nipokeeni ndugu zangu
1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50
Nipokeeni ndugu zangu
Huku mjini sijui kama utapata kwa sifa hizi.Nipokeeni ndugu zangu
1: Sifa awe miaka 18-27
2:Mkristo
3:Mwenye heshima na utii wa kweli
4:Asiwe na mtoto wala asiwe amewahi kutoa mimba
5:Asiwe ametoboa pua, kitovu au masikio zaidi ya mara moja
6:Asiwe anapenda kuweka kucha bandia
7:Awe tayari kua mke na kua mama pia
8: asiwe na mtizamo wa 50/50
Nipokeeni ndugu zangu
Duuh umeweka kipini Hadi kwenye critoris! , Wewe Kaa mbali na jamaa hamuwezan kwakwelMasharti magumu siwawezi hasa khs kipini sio kitovuni tu bali hata chini yake kipo! Unaishi kijijini gani. Siuoe huko huko?