Nipo imara ila najuta

Nipo imara ila najuta

didy muhenga

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2022
Posts
861
Reaction score
1,476
Habarini wakuu.

Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:

1. Dinner na pisi- 40,000

2. Bolt to home-5000

3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000

4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000

5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000

6. Nmepoteza dili la nje la 110,000

7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000

8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.

Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.
 
HAKUHAKIKISHIA HUO UGONJWA UTAKURUDIA TU.

NINA MTU NINAYEMJUA ALIPITIA HAYOHAYO

OTHERWISE,NENDA KAFANYE PCR TEST,MADAKTARI WETU WENGI HAWAJUI HILO GONJWA.
ukiweza chukua hatua,haikuwa UTI hiyo braza.
Habarini wakuu.

Nimekua nikipitia changamoto ya magonjwa kwa takribani sku kadhaa lkn nipende kuwahakikishia wana JF kua nmepona na vipele vimetoka sipat maumivu mda wa kukojoa na leo ndo natoka kweny mihangaiko sasahivi. Nawashauri mimi nimetumia gharama kubwa sana tangu niugue kama ifuatavyo:

1. Dinner na pisi- 40,000

2. Bolt to home-5000

3. Bolt from ghetto to her home na ya kigentle baad ya kumla-15,000

4. Kupima na dawa siku ya kwanza-32,000

5. Siku nilizojiuguza ambazo sijaenda kazini ni 3- 75,000

6. Nmepoteza dili la nje la 110,000

7. Dawa ya fungus na after shave- 15,000

8. Mahusiano na Mungu baad ya dhambi- can't be quantified.

Wakuu hizo gharama kama nisingezini nisingeingia hzo gharama zote. Vijana tunashindwa kuendelea ngono kimojawapo pamoja na sababu nyinginezo. Nitoe rai kwa watu wote tuvae condom au tuache dhamb ya uzinzi.

Uliugua ugonjwa gani mkuu?
 
Back
Top Bottom