Nipo Kahama, nahitaji Fundi umeme wa magari

Nipo Kahama, nahitaji Fundi umeme wa magari

Dormant Account

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2022
Posts
11,308
Reaction score
32,757
Wakuu nahitaj fundi umeme wa magari sijui Fund wire nitamtumia nauli aje anirekebishie gari langu huku nilipo fundi unaweza kumpiga ngumi bure Nisaidie wakuu japo mafuta yamepanda bei tutapambana hvyo hvyo tu
Nahitaj fundi kutoka kahama nipo km 50 kufika kahama ila nitamtumia nauli aje
Gari langu nimepak wiki sasa sign ya check engine inawaka tu nguvu haina hata baiskel anakupita
IMG-20220406-WA0529.jpg

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app
 
Kama na nguvu haina badilisha fuel pump na spark plugs
 
Wakuu nahitaj fundi umeme wa magari sijui Fund wire nitamtumia nauli aje anirekebishie gari langu huku nilipo fundi unaweza kumpiga ngumi bure Nisaidie wakuu japo mafuta yamepanda bei tutapambana hvyo hvyo tu
Nahitaj fundi kutoka kahama nipo km 50 kufika kahama ila nitamtumia nauli aje
Gari langu nimepak wiki sasa sign ya check engine inawaka tu nguvu haina hata baiskel anakupita View attachment 2178111

Sent from my SM-G935T using JamiiForums mobile app

Utatupa update likipona
 
Piga vizuri picha upande wa kulia tuone hizo taa zenyenkuwaka sababu kuna kama 2 zinawaka rangi nyekundu na 1 inawaka rangi ya orange.
 
Back
Top Bottom