Nipo kama sipo ila nipo na nitakuwepo!

Mnekezi

New Member
Joined
May 21, 2009
Posts
3
Reaction score
0
Kama ni Maisha yako, marafiki wapo! maisha yanakwisha! marafiki wanakwisha! Kwanini uwahitaji watu wengine wawe marafiki!endapo una maisha yako na marafiki wapo... Nipo sana waungwana, ila nipo sipo Bongo. Unajua nini mdau wangu? ... mtu, watu, tunapotezana ila tupo..:confused2:
 
mh hivi hiki ni kiswahili au? mmn nahisi sijasoma makala za kiswahili siku nyingi hata naaza kukisahau hasa kama hiki kilichotmika hapa, huwezi amini sijamuelewe ndugu yetu huyu alichojaribu kusema! anyway karibu mgeni!
 
Siyo wewe tu ndugu yangu... Mmh! mimi mwenyewe sijaelewa!!!
Anyway, Karibu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…