ShikamooooPole Mkuu
Nakutumia PMasante tajiri nitumie namba yako ya akaunt ya NMB
Dah..akikutumia... nirushie hata buku jero nipate njia. Hakieleweki hapa feri leo[emoji2960]Pole sana boss, nitumie laki nikuelekeze njia
Nilipe deni langu kwanzaDah..akikutumia... nirushie hata buku jero nipate njia. Hakieleweki hapa feri leo[emoji2960]
bwana bwana si nimeingia kariakoo shimoni kusaka madude mara paaaah! nikakatisha mitaa miwili mitatu kuangalia nyuma sizioni njia.
hapa naogopa kuwauliza watu maana nimebeba mihela naogopa kukabwa.