Nipo katika hali ya upweke usioelezeka

Fiziolojia

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2019
Posts
815
Reaction score
1,080
Familia imesafiri kwenda kula sikukuu nimebaki alone home. Nyumba yangu niliyoijenga mwenyewe naiogopa. Sijawahi kufeel upweke wa namna hii in my life. Never!

Sijui wale single guyz wanawezaje kuishi in this way.

Kibaya zaidi sijisikii kabisa kutoka out. Nimenunua beer kadhaa ndio nashushia kutafuta usingizi.

Sijui hii hali nawe imeshawahi kukusibu.

Kama ndio, naomba nawe ushare story yako nami.

Karibu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa unapenda vitu gani?

Uwe unaenda hata bar unacheza pool table ukichoka unarudi unalala. Kama iko karibu.
Inaweza kuwa fursa kumkaribia Mungu zaidi kwa kusoma vitabu vyake.
 
Huwa unapenda vitu gani?

Uwe unaenda hata bar unacheza pool table ukichoka unarudi unalala. Kama iko karibu.
Inaweza kuwa fursa kumkaribia Mungu zaidi kwa kusoma vitabu vyake.
Huwa napenda zaidi kusoma na kuangalia documentaries.. pia kutoka weekends na washkaji..lakini this time, sina appetite kabsa.ni kama mgonjwa.

Let me try ushauri wako wa kusoma vitabu vya dini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hujajenga mkuu axa mikamba ya kitoto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo la upweke hata M/Mungu alilijua kabla binadamu kuumbwa, akalifanyia kazi.

Kampani bora unayoweza kuipata na upweke kupotea ni mwanamke tu.

Vyakula na pombe havikusaidii kuondoka kwenye mkwamo huo.

Ninaposema 'mwanamke' nime generalise sikusihi ama kukushauri ubadili tabia, kuna njia nyingi za mahusiano hata 'penpal'.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi hiki si ndio kpnd kizuri cha kupata kampani...?
Na wewe si uende kwenu ukale sikukuuu na ndugu?
Au ndio hutaki kwenda?

Maana hamna sehem umetaja km kuna kitu kinakulazimisha kubaki mwenyewe..

Kuna familia mbili pasipo kujali uzima au uhai...
Familia ya wazazi wako wewe ukiwa km mtoto na
Familia yako, wewe ukiwa km baba..

Kote huku waweza pata kampani uliyoikosaa
Km wazazi kwa bahati mbaya hawapo ndugu wengne wa karbu jee?
Mwingne hata km wazazi hawapo....
Ile kwenda tuu nyumbn kwao ni fahari na kamapani toshaaa....

Nenda kwenu mkuu....
Mkesha wa krismass utachapwa viboko humo ndani na usiemjuaa...
Hahahaa jokin
Ila nenda home mzee baba nyumbn n nyumbn
 
Upweke uliopitiliza ni ishara ya jambo baya kutokea ni muhimu kufanya hata maombi. Sisi senior bachelors tuko fresh tu ila kipindi kama hicho kikija tunajua ni ishara ya kitu sio poa tunafanya hata ibada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…