Fiziolojia JF-Expert Member Joined Oct 19, 2019 Posts 815 Reaction score 1,080 Dec 25, 2019 Thread starter #41 Napoleone said: Nashindwa kukuelewa,au uko mkoan,kama dar nashindwa kukuelewa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sipo dar mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
Napoleone said: Nashindwa kukuelewa,au uko mkoan,kama dar nashindwa kukuelewa Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Sipo dar mkuu. Sent using Jamii Forums mobile app
maji ya gundu JF-Expert Member Joined Oct 7, 2018 Posts 3,070 Reaction score 4,698 Dec 26, 2019 #42 tamuuuuu said: Me naishi hivyo mwaka wa 5 huu.Nipo alone getto.Sijawahi oa na sina demu permanently. Juzi nikazidiwa na upweke mpaka nikahisi kuumwa hoiii.Nimeenda hospital sina ugonjwa wowote Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tuko pamoja mkuu mi mwenyew mwaka wa tano, ila some time upweke huwa unanitesa sana
tamuuuuu said: Me naishi hivyo mwaka wa 5 huu.Nipo alone getto.Sijawahi oa na sina demu permanently. Juzi nikazidiwa na upweke mpaka nikahisi kuumwa hoiii.Nimeenda hospital sina ugonjwa wowote Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Tuko pamoja mkuu mi mwenyew mwaka wa tano, ila some time upweke huwa unanitesa sana