Nipo kijijini peke yangu, nimejilipua viwili!

Jana Ulirudi Usiku

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
2,360
Reaction score
2,269
Hello everyone, nipo kijijini kwa muda. Mke wangu nimemuacha mjini na nina week 1.5 hapa. Sasa ni mgeni na naona ingenichukua muda mrefu kuanzisha mahusiano au kuomba mbususu na kupewa. Wakati nikifikiria hili nimejilipua bao 2 chap kwa punyeto.

Nilijaribu kuruka kichura, jogging n.k, ila wapi. Jasho limevuja kama lote ila ndiyo kwanza mzuka umezidi. Aisee nimetoa nut zito na jingi balaa. Mpaka nikaogopa nikidhani huenda ubongo umetoka!

Anyway nimejipa first aid mwenyewe. Kikubwa napanga tu niwe na kiasi. Kuna mazingira ni magumu mno kuepuka hii kitu. Iwe una mke au huna, ni ngumu.

Now mwepesi kidogo, sasa napanga mipango ya kuvuta kuku wa kienyeji kwa muda uliosalia wa kukaa huku!

Tukumbuke huwezi kuanza kula ugali baada ya kutoka safari ndefu, unaanza na kimiminika iwe juice, chai n.k! Hope mmenielewa hapa.

Siwezi kurudia kujichosha na upuuzi unaoitwa NoFap challenge. Wa kuendelea nao endeleeni tu. Mimi nimegundua ni kudanganyana tu. Na ndiyo maana zamani, na hata Waarabu kwa sasa huwa wanaoa na kuolewa mapema mno.

Nimeshakunywa 2 litres of water na mchana nashushia na vegs kwa sana. Too much of anything is harmful, kiasi ni muhimu.

Mchana mwema!
 
Bro nimekuona wakati unapga nikakausha,mbaya zaidi unakuja kujisia hapa jf.
 
JamiiForums560328693.gif
endelea kuburudika
 
Pita kwenye uzi wa kimasihara uchukue techniques za kula mbususu kimasihara
 
Back
Top Bottom