Nipo kuzimu muda huu,nawaona viongozi wa afrika na america

Vidole vinaandika huku vinasikitika yaani huyu mwamba watu mapenzi yanamtesa hadi anatupa kazi ya kuandika huu upuuzi wa akili.

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hii ni mental case
 
Huko kuzimu mtandao gani wenye kasi na vipi bei ya vifurushi?
 
Jamani hebu acheni kuhusisha mmea na huyu binadamu. Siku zote mmea na uheshimiwe
 
".......Bangi ya Arusha ndio bangi kali kupita zote duniani" tusibeze hii kauli wakuu!
 
Idiot
 
🀣🀣🀣
Ndio nini hiki ulichoandika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…