Mdomo bakuli JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 3,442 Reaction score 7,007 May 27, 2019 #21 Mkuu kipindi hiki mtatulia sana kwa wake zenu! Mmeishiwa hata mia hamna hyo jeuri ya kuchepuka inatoka wapi?
Mkuu kipindi hiki mtatulia sana kwa wake zenu! Mmeishiwa hata mia hamna hyo jeuri ya kuchepuka inatoka wapi?
financial services JF-Expert Member Joined May 17, 2017 Posts 17,776 Reaction score 42,402 May 27, 2019 #22 Viatu vya Samaki said: Kicheko cha uchochezi. Click to expand... Hahaaaa, maneno yako mkuu umenifurahisaha
Viatu vya Samaki said: Kicheko cha uchochezi. Click to expand... Hahaaaa, maneno yako mkuu umenifurahisaha
Leonardchama7 JF-Expert Member Joined Apr 14, 2018 Posts 2,963 Reaction score 4,027 May 27, 2019 #23 Sisi wanaume bhana pesa ikikata mashamsham yote kwa mkeo,ngoja azikamate ni mwendo wa kusuza rungu tu,hata hiyo zawadi ya buku jero itasahaulika tena
Sisi wanaume bhana pesa ikikata mashamsham yote kwa mkeo,ngoja azikamate ni mwendo wa kusuza rungu tu,hata hiyo zawadi ya buku jero itasahaulika tena