Hii ni hatari sana maisha yamebaka vibaya na ninachosshuhudia kwenye group la mshkaji anayetarajia kuoa hivi karibuni huwez aamini.
Wadau wanachanga kwa kwenda mbele. Yaani ni mwendo wa kupunguza na kutoa ahadi mm ni kama siamini.
Hapa ndio pale ninapoamini watu tunatofautiana. Watu wanakazi zao na mapesa wanajua kuyagawa. Sisi wengine sijui tatizo ni nini. Wakuu hii ni ngumu kumeza