Njoo River Side hapa......jamani nipo hapa kwanye kituo cha daladala cha external nasubiri magari ya kwenda mbagala...lakina kama mnavyojua shida ya huu mji...magari muda huu ni shida
sasa jamani mwana jf yeyote ambaye anategemea kutumia hii njia kwa gari la binafsi anisaidie kunisogeza nyumbani
Kama ni Me jitahidi kupitia dirishani mkuu tu hakuna namnamimi ni me mkuu
Ulipata bus au lift elezeanimepata mkuu...thanks
Mbagala hakuna bar mkuuAcha uzushi panda daladala, mimi nakaa mbagala ila nipo nakula pombe hapa sinza double view hotel, sijui nitaondoka saa ngapi, kama vp nisubili kama unaweza
Kakwambia anataka lift wewe unamuita bar dahNjoo Manzese hapa Erado hotel, nimevaa Tisheti nyeusi nimekua karibu na Kaunta, kuna Bia za Promotion hapa, hakuna watu kabisa
WeeeeeeeeeNjoo River Side hapa......
[emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Kama vile hujamwelewaMkuu nadhani umechanganya mada, jamaa anaomba lift, kwani kuomba lift ni dhambi mpaka mtu aende jehanamu?