NIPO MAJARIBUNI MWENZENU..

NIPO MAJARIBUNI MWENZENU..

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Shemeji yenu mjamzito nipo majaribuni huyu shemeji yenu hataki ata kuongelea habari za mapenzi.

Kifupi anasema hajisiki kabisa hana hisia za kimapenzi.Mimba ina miezi sita nina miezi miwili navumilia hajanipa kipochi manyoya kabisa.

Mimi mkenyenge unataka sasa nakaribia kuingia majaribuni.

Ushauri najua humu ni mapovu tu.
 
Yaani miezi 2 na yupo mwezi wa sita na bado zile siku 40. Yaani hautaigusa kwa muda wa miezi 7. 5.. Duh.
Vumilia Maana amekubebea heshima yako ya maisha hapo.
NAHUJA
 
Anakufanyia kusudi kwa vile anajua hana Mpinzani.
Endelea kuvumilia ila utakuwa na hasira sana miezi miwili si mchezo.
 
ingia tu majaribuni, si ndio akili zako zinavokutuma..
 
Mkandamize tuu hata kiubabe mzee hili mradi upunguze oil,kama anakunyima makusudi na hana tatizo lolote la kidaktari basi atakuwa ameamua tu kukufanyia uchoyo.

Kwahiyo wewe mkamate,jichukulie haki yako tuu ni mke wako huyo man.

Kuku wako mwenyewe,manati ya nini?
 
Probably unavyoomba mzigo huwa unatumia neno hilohilo Kipochi manyoya..
Tumia lugha mzuri basi atakuewa
 
Hakuna mzigo mzito kama huo. Kunyimwa penzi la mke ambaye kila siku mnashare bed. Naelewa uyapitiayo mkuu.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom