"Nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake

abdallah1503

Member
Joined
Jan 21, 2019
Posts
12
Reaction score
3
Hivi kuna sentensi moja nimekua nikiisikia hususan kwa watu wa dar na bara inayosema "nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake; kwa mimi mtu wa pwani naona sentensi hii si sahihi badala yake isemwe "nipo peke yangu"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushafafanua na imeeliweka,,,nipo mwenyewe maana yake nipo peke yangu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom