Hivi kuna sentensi moja nimekua nikiisikia hususan kwa watu wa dar na bara inayosema "nipo mwenyewe " eti wakiwa na maana hakuna mtu mwengine zaidi yake; kwa mimi mtu wa pwani naona sentensi hii si sahihi badala yake isemwe "nipo peke yangu"
Sent using
Jamii Forums mobile app