Uko lindo nini?Au kuna mwenzangu Kuna kitu nikuulize
Hela hamna usingizi hauji!!Au kuna mwenzangu Kuna kitu nikuulize
Kirefu chake ni Just Prison the Money, enheee unataka nini tena?Hee Kumbe siko alone any way mkuu hivi kirefu cha JPM ni nini maana nasikia kuna watu wamepelekwa mahakamani