Nipo Na Eng Hersi Kwenye Tuzo za TFF, Ameninong’oneza Jambo Kuhusu Aziz KI

Nipo Na Eng Hersi Kwenye Tuzo za TFF, Ameninong’oneza Jambo Kuhusu Aziz KI

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Demigod: Mbona suala la Utambulishaji wachezaji wapya lina sua sua. Kipi kinagojwa?

Eng Hersi : Acha kuzingua Demigod kwani una haraka gani wewe?

Demigod : Amna bhana. Wananchi wanataka kujua kazi iliyofanyika dirisha hili la usajili.

Eng Hersi : Tatizo mnayumbishwa sana na mitandao, wewe kwani unanichukuliaje mimi?

Demigod : Hapana, sio kwamba tunaegemea mitandaoni. Wananchi wana mshawasha tu wa kufahamu.

Eng Hersi : Ngoja nikiambie kitu kimoja demigod, mimi kazi yangu nimekwisha maliza. Nakuhakikishia kuwa 100% ya rumours za usajili wa chezaji wakubwa unazo zisikia humo mitandaoni mimi nimekwisha kamilisha kuingia nao kwenye mikataba.

Suala la utambulisho ni la kimkakati wa idara ya habari. Wao ndio wamepnga namna ya utambulisho na siku ya utambulisho. Waliniomba mamlaka hayo nikaona niwaachie ili nione wamekuja na ubunifu gani.

Demigod : Na hata Msuva pia?

Eng Hersi : Hahahahah wewe demigod hebu achana na mimi kwanza. Ngoja tufocus kwenye TFF Awards hayo mengine tutazungumza baadae

I only cringed just to flow with the moment.





IMG_0587.jpg
 
Ila siku ya kwanza msipeleke kufanyia mazoezi uwanja wa vumbi wa shule ya msingi Magomeni kama mlivyo fanya kwa Calinhos siku ya kwanza tu akaanza kujuta.
 
Ila siku ya kwanza msipeleke kufanyia mazoezi uwanja wa vumbi wa shule ya msingi Magomeni kama mlivyo fanya kwa Calinhos siku ya kwanza tu akaanza kujuta.

Unapafahamu AVIC TOWN..?

Haya ni mazingira bora zaidi. Hata wachezaji wa TP Mazembe hawaishi katika mazingira haya.

IMG_0592.jpg

IMG_0589.jpg

IMG_0591.jpg

IMG_0590.jpg
 
Back
Top Bottom