Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha

Ibnu uthaimin

Member
Joined
Jul 22, 2020
Posts
23
Reaction score
22
Habari zenu, natumaini ni wazima wa afya. Nipo na fremu ya nguo za mtumba ila sina mzigo wa kutosha.

Anehitaji kuniwezesha kwa mzigo namkaribisha, mitumba ya baibui, abaya za kikubwa na kitoto, kanzu za msikitini ndogo na kubwa pia madashdash, mabwanga pamoja na night dress hata viatu vya kike sio mbaya.

Location ni Zanzibar Fuon Mainroad, profit ikiwa mzigo ni wa kutosha na mzuri inaweza kuwa minimum Tsh. 300000+ per month.

Aliyepo interested anicheki.
 
Back
Top Bottom