Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 12,679
- 25,646
Sijambo mkuu..., Habari!Makari hujambo?
Poa, familia na watoto, ndugu jamaa na marafiki wanaendeleaje?Sijambo mkuu..., Habari!
Unazingua sana we Kalagabaho Zuzu ππPoa, familia na watoto, ndugu jamaa na marafiki wanaendeleaje?
Oh! Kwa heri πΆββ‘οΈ. Nisije kupata kesi kwq mkurugenzi mtendaji mfawidhi pale dodoma wikend nikakosa hela ya bia Nyamwi255Unazingua sana we Kalagabaho Zuzu ππ
Hapana siyo kweli!Wale wana vyuo maalum na masomo yao ni maalum pia siyo wote wanaohitimu hupewa hiyo kazi.
Sema miaka hii wanawaweka ndugu zao na ndiyo inaharibu kipenyo
kadi ya CCM huna basi ajira umeshakosa kigezo kikubwaWakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications.
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya.
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.
Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.
Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANI