Nipo njia panda.....wana jf plse

Frankly nimekubalika kwa baba ningali mzee...na namwona anavyopata shida kuni introduce kwa marafiki waliokua wanamjua usafi wake...Juzi kaolewa dada yangu...kiitifaki wanasimamisha baba,shangazi,dada na kaka wa bi harusi...kwa kua family yetu si kubwa sana baba aliamua kutambulisha mmoja mmoja...kimbembe kufikia kwangu...aah...i hate...Mungu anisaidie nisiwe 'km wanaume'...sitaki kua mnyonye kwa wanangu...
 
Mkuu mi nafkiria uache huyo mdada ajifungue kwanza ndo umuombe radhi nakumpa hyo habari,
wasiwasi wangu ukimwambia ss hv anaweza akash2ka sn ikasababsha hata hyo mimba aliyonayo kutoka.
pole,jtahd kuongea na huyo mwenye mtoto awe na subra kdogo utamtambulisha 2 mtoto.
ila kuwa makn pia inawezkana huyo mwenye mtoto akawa nae anataka ndoa ss anaweza pia atake 2kuharb ili mwenzie akasirike na aharbikie.
 

ushauri nimekupa, mueleze mwenzio kosa ulilolitenda, ukiri kuwa umekosa, uhudumie mtoto wakati huo huo ujiepushe na huyo mwanamke, na nikakwambia kuna hatari ya mtoto kutopendwa na gf wako kutokana na kumsaliti, kwa hiyo it will take time kwake kusamehe na kuaccept. Ila ukweli utakuweka huru. La mwisho nimekwambia hakikisha mtoto anapata haki zake za msingi
 
hivi kwa nini watu hutaka ushauri wakati mambo yashaharibika?kwa nini usiombe kabla?ushalikoroga,linywe
 
Huyo ni mke wako sasa,nimekaa na Girlfriend miaka minne maanake nini?Mwambie ukweli muyamalize mmalizie taratibu mpate na cheti halali.
 
wa kuongea nae ni yule uliyempa mimba kwanza..! kwamba ulimpa kwa sababu gani...sasa kama alikua anajua au ataelewa wewe ulimpa mimba ya nini hakuna sababu ya yeye kutaka kwenda kwa wazazi kutambulishwa (kwa wakati huu) kwa sababu ulikua "unatest zali" kwa hiyo awe mpole kwanza...mpaka uliye nae ajifungue kwanza na akae muda mrefu tu then baadae ndio umwambie BUT unahitaji mbinu mbadala kwa sababu ukiingia kichwa kichwa atakudharau sana na kuona wewe sio mwaminifu kwake! hakikisha unakuwa na maamuzi salama, utatest zali mara ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…