Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tamaa ya hela kivp kweni we hulipwi,Kila anaesoma kozi lazma aangalie na maslahi pia wito ni sehemu ya kazi na ko siyo afya tu ,Cha msingi we jaribu kuonyesha ipi ni kozi inayoweza kufaa zaidi Kwa kuajiriwa au kujiajiri siyo usome half uje kuzurura mtaaniMmmmmmhmn aisee kama mnataka kubet na maisha msiingie katika taaluma za afya maana huko tunataka wito tu na sio watu wanaotafuta kipato. Wito kwanza maslahi ni baadae.
Mtakuja kutuulia wagonjwa. Nyie ndio wale mnaofanya kazi kama mlilazimishwa au mnakisirani kumbe hamkuchagua kazi kwa wito bali tamaa ya hela.
Siyo diploma mkuu nataka degreeUsithubutu kusoma Pharmacy na Medical lab mara 1000 usome ufundi kwa hizo kozi kwasasa Afya soma hizi kama namba zilivyojipanga hapo chini.
1.Radiology
2.Dental
3.Clinical oficer
4.Optometry
Dili na hizo hasa 1& 2 kama unataka pesa ya chap ya mtaani.
Daah!Usithubutu kusoma Pharmacy na Medical lab mara 1000 usome ufundi kwa hizo kozi kwasasa Afya soma hizi kama namba zilivyojipanga hapo chini.
1.Radiology
2.Dental
3.Clinical oficer
4.Optometry
Dili na hizo hasa 1& 2 kama unataka pesa ya chap ya mtaani.
[emoji16][emoji16][emoji16]ko kaka sijakuelewa unamaana gani?Daah!
Ndio zile pharmacy zinatuuzia dawa za mifugo kwa matumizi ya binadamu
Na vizahanati mshezi eti vimefunga x-ray ya mchongo inakutandika dozi ya mionzi unatoka viuongo vimepikwa ndani kwa ndani
Clinical officer itoe hapoUsithubutu kusoma Pharmacy na Medical lab mara 1000 usome ufundi kwa hizo kozi kwasasa Afya soma hizi kama namba zilivyojipanga hapo chini.
1.Radiology
2.Dental
3.Clinical oficer
4.Optometry
Dili na hizo hasa 1& 2 kama unataka pesa ya chap ya mtaani.
Weka qualification zako tukushauri.Siyo diploma mkuu nataka degree
phy-C chem-B bios-BWeka qualification zako tukushauri.
Ila list inabadilika kidogo tu.
1.Dental
2.Radiology
3.MD
4.Optometry
5.Pharmacy.
Kama unataka kuajriwa haraka na serikali hizo 3 za juu ila kama unataka kujiajiri kwa digrii 1,2, & 5 ni best. 3 ni nzuri kujiajiri shida fund lakini utatumia nguvu kubwa kutoboa.
Hii ni form 6?phy-C chem-B bios-B
Ada ya Cuhas ni kiasi gani kwn mkuuHii ni form 6?
Ubaya wa Radiology digrii iko Muhas tu na Cuhas, so kwa matokeo yako ni nadra sana kupangwa Muhas unless na O-Level uliperform vizuri na inategemea pia ufaulu wa mwaka huu utakaoanza mwezi wa 5.
Kama pesa ipo, nanda Cuhas(Bugando) watakupokea vizuri tu.
Ada ya Cuhas ni kiasi gani kwn mkuu