Nipo njia panda

Usithubutu kusoma Pharmacy na Medical lab mara 1000 usome ufundi kwa hizo kozi kwasasa Afya soma hizi kama namba zilivyojipanga hapo chini.

1.Radiology
2.Dental
3.Clinical oficer
4.Optometry

Dili na hizo hasa 1& 2 kama unataka pesa ya chap ya mtaani.
 
Mmmmmmhmn aisee kama mnataka kubet na maisha msiingie katika taaluma za afya maana huko tunataka wito tu na sio watu wanaotafuta kipato. Wito kwanza maslahi ni baadae.

Mtakuja kutuulia wagonjwa. Nyie ndio wale mnaofanya kazi kama mlilazimishwa au mnakisirani kumbe hamkuchagua kazi kwa wito bali tamaa ya hela.
 
Hata sijui japo famasi ndio nilikuwa nakubl zaidi
 
Tamaa ya hela kivp kweni we hulipwi,Kila anaesoma kozi lazma aangalie na maslahi pia wito ni sehemu ya kazi na ko siyo afya tu ,Cha msingi we jaribu kuonyesha ipi ni kozi inayoweza kufaa zaidi Kwa kuajiriwa au kujiajiri siyo usome half uje kuzurura mtaani
 
Siyo diploma mkuu nataka degree
 
Daah!

Ndio zile pharmacy zinatuuzia dawa za mifugo kwa matumizi ya binadamu
Na vizahanati mshezi eti vimefunga x-ray ya mchongo inakutandika dozi ya mionzi unatoka viuongo vimepikwa ndani kwa ndani
 
Daah!

Ndio zile pharmacy zinatuuzia dawa za mifugo kwa matumizi ya binadamu
Na vizahanati mshezi eti vimefunga x-ray ya mchongo inakutandika dozi ya mionzi unatoka viuongo vimepikwa ndani kwa ndani
[emoji16][emoji16][emoji16]ko kaka sijakuelewa unamaana gani?
 
Clinical officer itoe hapo
 
Siyo diploma mkuu nataka degree
Weka qualification zako tukushauri.

Ila list inabadilika kidogo tu.

1.Dental
2.Radiology
3.MD
4.Optometry
5.Pharmacy.

Kama unataka kuajriwa haraka na serikali hizo 3 za juu ila kama unataka kujiajiri kwa digrii 1,2, & 5 ni best. 3 ni nzuri kujiajiri shida fund lakini utatumia nguvu kubwa kutoboa.
 
Siku hizi watu hamuangalii ndoto tena bali ulaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Maisha yamekuwa kasi sana.
 
phy-C chem-B bios-B
 
Siku hizi watu hamuangalii ndoto tena bali ulaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], Maisha yamekuwa kasi sana.
Ndoto kw nchi hii utasubiri sana[emoji16][emoji16][emoji16]
 
phy-C chem-B bios-B
Hii ni form 6?
Ubaya wa Radiology digrii iko Muhas tu na Cuhas, so kwa matokeo yako ni nadra sana kupangwa Muhas unless na O-Level uliperform vizuri na inategemea pia ufaulu wa mwaka huu utakaoanza mwezi wa 5.

Kama pesa ipo, nanda Cuhas(Bugando) watakupokea vizuri tu.
 
Ada ya Cuhas ni kiasi gani kwn mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…