Nipo njia panda

Kama unaweza kutoka nje ya fani za afya na kama unataka uwe na uwezo wa kujiajiri bila kuhitaji mtaji mkubwa hapo baadae, nenda kasome ufundi wa magari na mitambo au umeme wa magari na mitambo.

Ukihitimu utakuja kufurahia sana, hasa swala la kambi popote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…