Nipo njiani naingia Iringa wenyeji tafadhali kampani

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
I iringa sio mzaliwa nakuja kujishugulisha na harakati za hapa na pale wenyeji wangu nipes connection jinsi ya kuishi mikoa mingine inakua na miiko flani japo kwa kias kidogo kwa sasa naenda kufikia tumaini kihesa kwa marafiki ila najua wanajf ndo marafiki wa kubwa maana humu nimesaidiwa sana hata hapa naamini nitapata mawili matatu kwa upendo wote elimu ya chuo kukaa maskani bila ajira aibu balaa
 
mtafute gentamycine akupe muongozo wa lodge / guest house za kufikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…