Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Maana huyu mzee sijui ndio kuchunga nisiwe natoka mapema , coz nilishazoea saa 8 or 9 out sasa week hii naona kila siku yupo mbele yangu... yaani nimwite atoe ndio niondoke.
 
Umepapendea nini? Au kisusio hakipimwi kwa kg?[emoji16][emoji16][emoji16][emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimekumbuka juzi kuna katoto kamoja kapo dukani kanamkazania muuzaji ampimie mafuta ya kupika kilo moja.
 
Unaweza kuja pm tukayajenga maisha?
Kama ndio njoo chap unipe unayoyajua na mimi nikupe ninayoyajua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…