Nipo online, niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu (interview)

Nipo online, niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu (interview)

Singidan

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2015
Posts
881
Reaction score
942
Ndugu WanaCC.

Kwanza kabisa habari zenu...!!

Cc wanaJf wote,
Itifaki imezingatiwa.
Pili, kwa kuwa mimi napenda sana kujifunza kupitia watu, sasa naomba niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu Kwa kutumia online time.
 
OLINE ndo wapi??
 
Nini siri ya urembo wako? Ulijisikiaje siku ya kwanza kuuona utupu wa mpenzi wako?
 
Naishi Tanzania, mikoa ya kanda ya pwani, nina miaka 20' na JF Ninaisaidia kwa kwa kuwashawish marafiki na ndugu kujiunga nayo kwan hadi sasa wameshajiunga watu zaidi ya 10 kupitia mm.
 
Mwanafunzi au?
Kama jibu ni ndio, levo gani?
Kama jibu hapana, unafanya nini siku hizi?
Hapana, kwa sasa sio mwf. By the way i am free young entrepreneur, innovation idealist and teacher by prfssional. Also founder of www.jamiichat.yooco.org where this time i uses to build and run it.
 
Back
Top Bottom