Emilio Mzena JF-Expert Member Joined Jul 13, 2023 Posts 268 Reaction score 639 Aug 25, 2026 #1 Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
Nipo hapa kwa fundi viatu na-brush viatu vyangu nikasikia wadau wakipiga story kuwa, mzee wa kanda ya kati anaenda kuwa VP na yule mwana mdekaji anaenda kuwa PM. Mimi naendelea kuwasikiliza hawa wadau wangu hapo kwa fundi viatu, nitaendelea kuwajuza
Meja Jenerali Isamuhyo JF-Expert Member Joined May 20, 2017 Posts 3,709 Reaction score 10,896 Aug 25, 2026 #2 😂