mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Tulipanda wote daladala kutokea ubungo 2013. Nilikuwa nasoma UD Certificate ya law. Ukaniambia ulisoma Mwalimu Nyerere, UD na wakati huo ulikuwa unachukua masters, uliniinspire kwa mengi ukaniambia Mtwa soma kwa bidii vitu mbalimbali, Nilikuuliza kama unatumia jamii forum ila sikumbuki jibu lako.
Niliona nisishukie Kiluvya kwa Komba nikashukia maili moja kwaajili yako.
Sidhani kama tulionana tena ila tulikuwa tunawasiliana kama dada yangu wa heshima. Pole maana nikiwa Mbeya ulimpoteza baba etu mzee wetu aliyekuwa anafanyia DAWASCo kama sikosei.
Samahani kwa bingo ila nimekosa njia nyingine ya kukutafuta, nakuomba nitafute ndugu yangu maana hata simu haipatikani.