Matokeo1
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 231
- 42
Mimi ni kijana mwenye umri 30yrs nina bachelor ya sheria, natafuta mwanamke mwenye sifa hizi, awe na umri usiozid miaka 30, awe anaumbo zuri maana mi kwa maumbo mazuri ndo furaha yangu, awe na sura ya kuvutia, awe mpenda Mungu, awe mkristo, awe mpenda maendeleo, elimu iwe ya form iv na kuendelea, sichagui kabila, kama yupo ambae yupo serious anitafute tuongee kuhusu uchumba wetu.