Mkuu umekaa wiki nzima hujanywa Maji? Hatari. Nakushauri punguza sadaka na ndugu. Hutafika mbaliView attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500
Imani au ujinga ndiyo mana wachunga kondoo wamejawa viburi na kuishi maisha ya anasa kwa wajinga wajinga kama hawa!Nilivyoiona hiyo sadaka .. nimehisi unaimani kubwa kubwa, Naona nikuache na ulivyojipangia hayo mengine, Mungu anakuwezesha sana
Kwa hiyo kazi ya fridge ni kuwekea nyanya na wali uliobaki!!?? Hizi ni akili za kimasikini siyo za mtu mwenye malengo ya kufanikiwa. Fridge ni anasa tena ya kipumbavu. Wewe unajua fridge kwa mwezi utatumia kiasi gani gharama za umeme kwa kuhifadhi dagaa na nyama,bidhaa ambazo kila siku zipo sokoni!??Mkuu ww unajua kazi ya friji?
Mkuu hebu acha kulisha watu matango pori!?? Km mtu unasema ana huo u busy huo muda wa kupika anautoa wapi!?? Yaani upate muda wa kupika halafu ukose muda wa kununua nyanya na nyama Dar es salaam hii!?? Huyu ni mpumbavu awala siyo mjinga. Na hizi ni akili za masikini..si unaona hata sadaka anatoa zaidi kuliko alizowapa ndugu!?? Huwezi kufanikiwa kwa mtindo huo wa maisha. Kama hana muda kiasi hicho kwa nn apike,si ale kwa mama lishe!?? Unanunua fridge kwa gharama kubwa,halafu unaongeza gharama za umeme kwa ajili ya kuweka wali wa shilingi elfu 1 uliobaki!!??Ninaongelea watu ambao tupo busy kweli kweli kupata huo muda wa kwenda kununua nyanya za mia 2 kila siku gengeni, unachukulia kuwa na fridge ni anasa?
Mkuu maisha yako ya aina nyingi sana.
Na take home ya laki 5 sio ya kubeza ni hela standard kibongo bongo.
Yaani hapo amewazid walimu,mapolisi,makarani wa halmashauri.
Sasa kuna haja gani ya kucheka mtu mwenye uhakika wa laki 5 kwa mwezi eti jwa vile una mshahara wa 1.5m.
Tukianza kufanya comparison ya mishahara humu mbona hata hicho kimshahara chako Cha 1.5m ni kidogo sana.
Atakuja mwingine atakwambia 1.5m hata kwa chakula tu haimtoshi na atakucheka.
Mimi matumizi yangu ya umeme natumia unit 2 tu kwa siku kuanzia friji pamoja na kuwasha taa ambazo gharama yake ni 500 tu kwa siku.sasa hapo Kuna hasara gani.Kwa hiyo kazi ya fridge ni kuwekea nyanya na wali uliobaki!!?? Hizi ni akili za kimasikini siyo za mtu mwenye malengo ya kufanikiwa. Fridge ni anasa tena ya kipumbavu. Wewe unajua fridge kwa mwezi utatumia kiasi gani gharama za umeme kwa kuhifadhi dagaa na nyama,bidhaa ambazo kila siku zipo sokoni!??
Kwamba ukimpa familia yako ndani ya siku kadhàa tu, ataitoroka!Mbona umecheka mpendwa
Hahaha kama huna dem wala mke ni sawa endelea hvo hvo.mkuu hii bajeti ni wiki moja kma nilivyo specify , cm bando hua naunga la mwez, maji na umeme vipo ndo maana.
Sinywi pombe ,sivuti sigara na nimesema kua nipo single ( sina demu)
Ha haaTake home yako ni ngapi we boya
mi mwenyewe nilicheka sana asee jamaa hatumii chochote.Daaah umenifanya nikoment.. Ninecheka sana
mtoa mada tuambie na umri na jinsia yakoAtapata akili ya kuoa fasta, mwache kwanza ale kiume atakula mahanjumat akishaoa
tabia yako haishabihiani na jinsia uliyoitajaJinsi me, umri 20-30
ha ha ha hilo life nimepitia dah ukipika mboga majani halafu kikifuata ugali unatoka na mambogaHajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.
Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.