Za asubuhi wana jamii, kama kichwa kinavyo eleza hapo juu nipo tayari kumpa mwanamke wowote pesa ila tuwe na uhusiano maana kwa sasa hivi ninaona kua wanaume wengi wanalalamika kua serikali ya awamu ya tano imebana sana matumizi.Nimeona kua kwa kua wanaweke wengi ambao walikua michepuko hawana uwezo tena wakupiga mizinga waje kwangu maana pesa kwangu sio tatizo kabisa.Ila sharti ni moja tu usiulize kua pesa zimetoka wapi ww tumia tu.Kwahio kwa kuhitimusha nawakaribisheni eyi wote wapiga mizinga mje kwangu.Lakini watu watatu wa kwanza ndio watapewa kipaumbele.