hapana aisee acha zinipitewe hutaki hela kama wenzako?
anataka kubadilisha ladhaMi nikajua unagawa tu pesa! Mi nna shida ya hela ila sio uhusiano
Si uchukue changudoa permanent... Unamlipa kila siku..
Hahahahaha bonge la swaliKtk familia yako hakuna mwenye matatizo??
Dah..we vepeee bana...Nani huwa anawagonga watu wa familia yake? Usituletee uchuro bana😎Ktk familia yako hakuna mwenye matatizo??