Mpenda kazi
Senior Member
- Dec 13, 2013
- 178
- 104
Habari wadau wa jf!
Jamani kwa yeyote mwenye kuweza kunisaidia nionane na RAIS ili nizungumze nae aniteue niende kuijadili rasimu ya katiba bila malipo yoyote, nitatumia gharama zangu mwenyewe.
Watu wanadhani ni masihara lakini nipo serious, naomba wadau tena ikiwezekana nitoe kiingilio cha bunge sh. 100000/= kwani ndiyo nina uwezo nacho na gharama za chakula, malazi na usafiri nitagharamia.
Kama unaweza kunisaidia wasiliana nami kupitia- PM
Naomba kuwasilisha