</p>Hivi birth day zipo kumbe! na huwa watu wanasheherekea! Mi naungana na mtoa mada against that kabisa! Sijawahi kufanya birth day party, watoto wangu hawajui hii kitu (sio utamaduni wetu). Sitarajii na wala sifikirii birth day party!
</p>Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???
mweee mi napenda weweeee dah kata keki tule kata keki tuleeeeee kata keki tuleeeeeeeeeeeeeeeeeeewote.....:love:
napenda kuudhuria za watu tu bt nt me...so pls mkisikia kuna bthday kwa jiran yako apo pls n pls let me knw haijalish nina kad au sina kinachotakiwa ni KKKKEKKKI....:love::love:!!!!!
Wengi husherehekea birth date zao kila zinapofika. Huwa hawajali kuwa wameupunguza mwaka wao mzima wa maisha yao huku pengine hakuna hata moja alilolifanya la maana la kujisifia hata yeye mwenyewe mbali ya kumsifia sisi.... Na kwanini tusiseme tunamshukuru Mungu kwa kutuwezesha kuufikia mwaka mwengine? Now birth date yangu imekaribia ila nahisi sipaswi kuifurahikia bali wa kuifurahikia ni wengine kama tu lipo la kufurahikia uzao wangu. Sijuwi nipo sawa au sijitendei haki???