Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

Nipo Uganda kuna ngoma ya Harmonize na Pallaso 'Only You' ni hatari

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Aisee sijajua kwanini harmonize hajaifanyia promo hii Collabo yake na huyu mganda ila kwangu naona ndio nyimbo yake Bora aliyoshirikishwa mwaka huu
 
Msalimie Mzee Museveni, mwambie miaka 10 tena, yeye ndio Kingunge aliyebaki kuwakilisha wazee wabishi.
 
Back
Top Bottom