Nipo ugenini, wanapika chakula kidogo mno

Nyumba yenye furaha ni yenye chakula cha kusaza. Sasa unakuta watu wanapika wali kwenye sufuria za kuchemshia chai! Kweli!!? Unakula hata ukienda toi unatoa kama mbuzi au mtoto!! Nyumba isiyo na chakula cha kutosha haina furaha hata kidogo.

Yaan ni kweli kabisa ,kuna familia watu ni wachoyo mnatafuta pesa za nin mnakula hata hamshibi [emoji23][emoji23] raha ya chakula kiliwe kibaki ukiona watu wanakula chakula kinaisha hakibaki ujue watu hawashibi
 

Hawataki kupika au?
 
Huku kwetu debe la mahindi ni 25k, debe la maharage 55k, huko kwenu sijui hali ikoje mimi nimelima mahindi, alizeti na maharage atleast inasaidia kumudu gharama za chakula. Hao watu wanajibana washapiga hesabu na bajeti kali za mwezi mpaka miezi 3.
 
Hii ishu iliwahi kunikuta.

Nishaapa, katika familia yangu chakula kikiwepo ni lazima kipikwe cha kushiba.
 
Famasiala nini dadeki
 
Halaf sio kwamba wao wanakula kidogo hapana huko wanapotoka makazini kwao wanakula wanashiba wakifika home wanajazilizia kidogo
Watu wa hivyo siku wakija kwenu wapikie chakula kingi na kizurii wale sana
 
Kuna ndugu yangu kaolewa anaishi ukwen wana ishu hizo huwa akirudi home anakula kama hajaona chakula miaka mitano [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Bora wewe umekata nusu,ningekua mimi ningekula wote,wao si ndio wenyeji wangeenda jikoni kupika tena,sio kula kama unaonja,kwanza huku kijijini kabla ya chakula tunaanza na karanga mara maziwa na manumbu mpka chakula kinakuja mtu ushaanza kushiba,
Mala nkoi/bhagheshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…