Nipokeeni mimi 'kuku' mgeni

book11

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2017
Posts
700
Reaction score
390
Poleni na majukumu ya ujenzi wa taifa. Mimi ni mgeni humu jf, naombeni mnipokee na tushirikiane.
 
Utaratibu wa huku ni kwamba kama ndo unajiunga na JF kwa mara ya kwanza unatakiwa kuweka picha zako tatu tofautitofauti hapa pamoja na namba yako ya simu!.........Karibu![emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Karibu sana.....usijisikie upo fb.
 
Karibu ila usisahau net kwetu kuna mumbu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…