Nipokeeni mwana mpotevu...

pemgtoonet.com

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Posts
879
Reaction score
618
Habari wana jf? NI muda mrefu sijawahi post wala kukoment chochote humu hadi nikahisi nitakuwa blocked,kumbe bado nimo. Naomba kukumbushwa sheria na kanuni za humu nisipigwe ban,jf ndio kila kitu,kuna watu kama mzizimkavu,mshana jr, lizabon,evelyn salt,miss chagga,n.k bado wapo humu hv? Siku njema nyote.
 
Nakumbuka mara ya mwisho kuchangia humu km sikosei mwaka 2013,
 
Nakumbuka mara ya mwisho kuchangia humu km sikosei mwaka 2013,
 
Ngoja sisi member wapya tutangulie kukupokea.

Karibu ukae mgeni, jisikie huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…